My Dear-文本歌词

My Dear-文本歌词

PAHTURE
发行日期:

Hehehehe Naih on the beat Call me pahture aaanh ah Pahture aaanh Ukweli mwanzo walinicheka I swear dear ilivyo tokea we kusepa Now movie imeanza upya bado tu nadeka Shuu lime washuka shuu nawacheka Utamu wangu huwezi nitenda Na tena wachambe wanao tusimanga Kila wakijaribu pakazia mate Waonyeshe movie lenyewe sio trailer Penzi letu lime jaa more Kwa godown ngumu kosa Salio Mapema nikupeleke kwa mother So ujiwahi mamy yooh Nilizoea hadi siku kuu Ndo ninywe soda umebadilisha hiyo Nilipo dondoka umekuja Niokota unanipa bila kikomo Ila nimejua huwezi nitenda now Huwezi nitenda aaah yeah Huwezi nitenda my dear Huwezi nitenda my dear Coz me una nipenda now Unanipenda wewe Huwezi nitenda my dear Huwezi nitenda my dear (ooh dear) That day ulinifanyia faida Yangu siwezi elezea big matter Usiende mbali you go be my wife mwaka Huu nakufungia ndani mamy loo Nikuite nani mama sita Au jolie sa uzuri wa senorita Ume jazwa udongo Yani mpaka unamwagika Nyama nyama nyingi kutembea Unaona shida (shida ah ouh uh) Penzi letu lime jaa more Kwa godown ngumu kosa Salio Mapema nikupeleke kwa mother So ujiwahi mamy yooh Nilizoea hadi siku kuu Ndo ninywe soda umebadilisha hiyo Nilipo dondoka umekuja Niokota unanipa bila kikomo Ila nimejua huwezi nitenda now Huwezi nitenda aaah yeah Huwezi nitenda my dear Huwezi nitenda my dear Coz me una nipenda now Unanipenda wewe Huwezi nitenda my dear Huwezi nitenda my dear (ooh dear) Wago ooh Samyleshma ooh oh Hophama Hophama music